Saturday, October 8, 2011
MSANII kutoka nchini Nigeria Chris Trent maarufu kama Mr.Flavour ambaye anatamba na singo ya yake ya ‘Ashawo’ anatarajiwa kutumbuiza katika fainali za shindano la vipaji la Bongo Star Search Second Chance linalotarajiwa kufanyika Oktoba 14 kwenye ukumbi wa Diamond Jubillee jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano hilo, Ritha Poulsen alisema kuwa msanii huyo pamoja na wengine kutoka hapa nchini watapamba fainali hizo zitakazoshirikisha wasanii watatu waliotinga fainali. Alisema jumla ya shilingi mil.55 zitawaniwa katika shindani hilo ambapo mshindi wa kwanza atazawadiwa shilingi milo.40, mshindi wa pili atapata mil.10 na mshindi wa tatu atapata shilingi mili.5. Habari na Mama Pipiro


Read more on: http://dartalk.com/

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Blog Archive

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS