Monday, October 10, 2011

                                                           Diamond


                                              Bob Junior
Hivi ni kitu gani kinamfanya mwanamuziki mmoja kuwa zaidi kuliko mwingine? Ni sauti,ni muonekano,ni tungo nzuri au ni bahati tu ya kupendwa?Au ni “swagger” kama wanavyosema vijana wa kileo? Swali au maswali kama hayo nilikuwa nikijiuliza hivi leo wakati nikisikiliza mpambano katika kipindi cha Nani Zaidi kinachorushwa na Radio One Stereo(89.5fm) kutokea Mikocheni jijini Dar-es-salaam.Ni kipindi ambacho kimekuwepo katika kituo hicho toka enzi zile za kina Charles Hillary(Mzee wa Macharanga) Katika kipindi hicho wasanii Diamond Platinumz na Bob Junior ndio waliokuwa wanashindanishwa katika kipindi hicho ambapo wasikilizaji huwa ndio waamuzi kwa njia ya simu wanazopiga na kuweka bayana ni nani aliye kipenzi chao au wanayedhani ni zaidi ya mwingine. Pamoja na maswali yangu au yetu,katika kipindi cha Nani Zaidi kilichorushwa leo hii tarehe 9 Oct.2011,Msanii Diamond Platinumz ndiye aliyeibuka mshindi kwa jumla ya kura 26 dhidi ya kura 10 zilizokwenda kwa Bob Junior. Je,endapo ungelikuwa na nafasi ya kusema chochote juu ya mpambano katika ya Diamond na Bob Junior ungesemaje ?Nani zaidi kwa mtizamo wako ?Kwa kutumia vigezo gani ? Read more: BongoCelebrity

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Blog Archive

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS