Wednesday, October 5, 2011
Kwa Tanzania naweza kuwa sahihi nikisema kwamba “napenda kumtambulisha” kijana Chris Mhina,mtanzania anayefanya vizuri katika anga za muziki kutokea nchini Sweden kwani naamini sio watu wengi sana ambao wameshapata nafasi ya kumsikia Chris Mhina.Lakini kwa pande za kule Sweden,Chris Mhina hahitaji utambulisho sana kwani tayari ni miongoni mwa wanamuziki vijana wanaofanya vizuri sana katika za muziki. Hivyo basi kwa heshima na taadhima,naomba nimtambulishe kwako wewe msomaji kijana huyu ambaye kwa mapana anapeperusha bendera ya Tanzania kupitia muziki huko Sweden na kote kwingineko hususani barani Ulaya.Ukitaka kujua mengi kumhusu Chris unaweza kufanya hivyo kwa kutembelea tovuti yake kwa kubonyeza hapa. Ili kupata kionjo kidogo tizama video hiyo hapo chini ya wimbo wake Last Dance. Read more: BongoCelebrity

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Blog Archive

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS