Tuesday, November 22, 2011

Keeping the good music alive,
That’s me job,
You my sunshine my moonlight and everything I dream about,
Linah,let’s go..
Chorus..
Yalaiti,napenda pasi kifani/
Tofauti,sikutilii moyoni/
Sikuachi,leo na kesho peponi/
Anh anh anh anh anh anh I love you/
Verse I
Sambaza love kama dawa/
huachi mpaka napagawa/
hata ukisema mi sio Hamis natingisha kichwa/
mapenzi yako yanielemea ka chupa nzima ya tequila/
usirushe somo nakupenda acha masihara/
ina haja gani unishikie fimbo ili nikuskize ka gorilla/
mi ni mtu na mapenzi yangu nishaacha zamani usela/
una matatizo najua,na mi nna yangu boo/
we sit together from this moment,we see them through/
nikikukosea nisute,nipige vibao,nizodoe/
ninunie kwa siku kadhaa ila nnachoomba usinikimbie/
mapenzi ya utemi kwangu hadithi mambo ya kizamani hayo/
ukiniudhi ntapiga kwa khanga ndio nimefunzwa hivyo/
utaoga mabusu nikufute kwa kumbatio/
mpaka kama nikisafiri ukinikumbuka iwe kilio/
sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe/
usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe/B…
Chorus..
Verse II
Nshasema sipendi mapenzi napenda mapenzi nawe/
usinikatae utaniumiza mi nna biashara na wewe/
ushaangaliwa niunge tela usingoje mpaka uambiwe/
ushaangukiwa anguka nawe usizubae mpaka irejewe/
kwako ntakuwa Bushoke sitajiuliza ka zezeta/
yetu yawe mahaba mapenzi zamani tumepita/
mi sakafuni we ukingoni mbio zangu haziendi mbali/
una moyo wangu ntapenda bila kujali/
hata marefa wana timu zao mama panga matokeo/
pambano lianze najua goli ngapi ngapi leo/
usiache kuvaa nguo ndefu hivi vimini achia vicheche/
mwanamke kwetu staha tunaovipenda sio wote/
akili haziuwezi moyo na wenyewe una ubongo pia/
hauwezi ukafuatafuata kila utakachouambia/
nitajiwapo mapenzi naipata picha yako kwanza/
natamani uipate yangu na iwe inakuliwaza/
Linah..
Toa shaka na wasiwasi moyoni/
Toa shaka na wasiwasi moyoni/
Kukuepuka hilo haliwezekani/
Takushika,leo na kesho peponi/
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Blog Archive
- 2012 (19)
-
2011
(124)
- December(28)
-
November(29)
- Christina Shusho, Bonny Mwaitege, 20%, Glorious Si...
- MONALISA Vs JOHARI:NANI ZAIDI?
- “SABABU YA NJAA”-MIKE TEE Feat.FID Q
- NEW TRACK: KICHWA KINAUMA -TMK WANAUME FAMILY
- Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone Awarusha Wak...
- AUDIO TRACK: DIAMOND – MAWAZO
- NEW VIDEO: Momba - Mimi Sio Sharobaro [Official Vi...
- New Song: Tiger Eyes- Grind On
- LYRICS: MWANA FA FT LINAH – YALAITI
- DEIWAKA ENT. PRESENTS ANTIVIRUS BURUDANI KWA MASHA...
- THE CRUISE BEACH PARTY....26 NOV....MBALAMWEZI!!
- MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSEPH MBILINYI AKA MR. SUGU...
- UZINDUZI WA ALBUM MPYA YA SHETTA @ CLUB BILICANAS ...
- “MBAYUWAYU(NGO,NGO,NGO)”-MARLAW(NEW SONG)
- TAMASHA LA STR8 MUSIC INTER COLLEGE SPECIAL 2011 L...
- BASATA KUUFUNGIA HAKUNAGA WA SUMALEE?!!!!
- ALBUM MPYA YA DIAMOND SASA IPO MADUKANI NCHINI KOT...
- BODA KWA BODA BEACH CONCERT
- NEW TRACK: SQUIZER ft. OMMY DIMPLE "BACHELLAR"
- Brand New Song MwanaFA ft Linah - Yalaiti
- ME WA KITAA by YOUNG SUMA
- MAG: BAABKUBWA NEW ISSUE IS OUT – GRAB YOUR COPY N...
- SUMA LEE & MATONYA LIVE @ NEW MAISHA CLUB – SUN 6T...
- Ay ft Sauti Sol - I don't wanna be alone {Official...
- TWANGA PEPETA FESTIVAL 2011 @ LEADERS CLUB – SUN 6...
- IZZO BIZNESS LIVE @ CLUB BILICANAS – SUN 6TH NOV…!!
- NEW TRACK: Suma Mnazaleti ft Mabeste & Ben Paul - ...
- NEW TRACK: Robby - Mzuka bado
- THURSDAY IS THE NEW FRIDAY @ RUNWAY BAR & LOUNGE –...
- October(38)
- September(26)
- January(3)
- 2010 (13)
CONTACT US
Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A
Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
Total Pageviews
NEW EAST AFRICA SONG
Lukata Willy

ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS
BONGOFLAVA
Like Us on Facebook
COUNTRY VISIT MY WEB
Home
Create by Bongotrack. Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment