Saturday, September 3, 2011

Jiji la Dar-es-salaam ni maarufu kwa mambo mengi.Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na foleni au kamba kama wengine wanavyoita.Ni kero ambayo inaniudhi mimi binafsi kweli kweli.Mbaya zaidi ni kwamba hakuna kinachofanyika kwa uhakika kabisa ili kuondokana na tatizo hili ambalo ni kitu kibaya sana kwa maendeleo ya kiuchumi.Muda ni hela.Sisi tunaupoteza muda mwingi barabarani.Eti,kuna mtu kasema msongamano wa magari au foleni ni dalili kwamba uchumi umekua?Akili au matope?
Lakini at least kipo kitu ambacho kinaweza kukuwezesha kutoyahisi kwa undani maumivu ya foleni.Ni kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM kuanzia saa kumi jioni mpaka moja usiku.Pale utasikia mengi.Mengine yatakuudhi,kukuhuzunisha,kukufahamisha,kukuelimisha,kukukosoa nk Habari njema ni kwamba hata wewe unaweza kuwa sehemu ya Jahazi.Kivipi? Ni kwa njia ya kuwasilisha maoni yako.Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 na ili kushiriki,andika JAHAZI acha nafasi halafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774. Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu.
Pichani ni waendeshaji wakuu wa kipindi cha JAHAZI.Kutoka kulia ni Eprahim Kibonde,Wasiwasi Mwambulambo pamoja na Arnold Kayanda.
Share and Enjoy:


Read more: BongoCelebrity

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS