Saturday, September 3, 2011
Tarehe 29 mwezi Jan ndio siku ambayo tuliachia mzigo wetu uliotutambulisha kwenye Industrial ya mziki, kama kundi Kamba 2 Kamba, mpaka leo imepita miezi takribani saba na kama tulivyowahi kusema kwa mwaka huu tumeugawa mara mbili mwezi jan mpaka june, na kuanzia jul mpaka dec, mzigo mpya sasa uko tayari na ndo tunauachia rasmi ambapo hatutatoa ngoma nyingine tena ya kundi, ila itakuwa ni tym ya kutoa nyimbo za wasanii binafsiiii, ambazpo tutaanza kuachia ngoma ya chibwa achibadenc, any tym from naw, ngoma ya okey gerto child, ataiachia siku ya kukumbukumbu ya kuzailoiwa mama yake mzazi tar 9 mwezi 9, kwa sasa tutatulia na izo ngoma 6 tu za wasanii binafsi ndani ya kundi zitakapofanya vizuri tutaachia za wasaniii wengine, ngoma ambazo zilizopo media ni kulia ya mensen, ful ng'ae ng;'ae, gambe za flow, ona, chiba dance, na nipishe. kama kundi tunaitaji sana saport yakoooo kwa kuwa we ndo umekuwa mlezi mkubwa wa kundi mpaka hapa tulipofikia. winji winji men winji winji wara.

MAJINA YA WALIOSHIRIKI KWENYE NGOMA YA ONA
Baghdad ameanza, Fidodido amepiga Chourus, akafuata Kuch msichana pekeee ndani ya Mexicana, akaja Bibo, Chourus, okey Gerto Chirld, Scoda, Chibwa ngoma imeisha imefanyika katika studio za D Ftality chini ya Pro wetu Mensen Selector..

Mexicana LaCavela - Ona

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS