Tuesday, September 6, 2011
Mambo vipi Mdau??
Niseme THANKS A LOT kwa support yako since show ya 20 ZA TOWN mpaka sasa kwenye SIZ KITAA show ambayo ni ya KITAA ZAIDI pamoja na MUSIC INDUSTRY kwa ujumla. Baada ya kumaliza msimu wa kwanza (SEASON I) YA SIZ KITAA sasa tunaingia kwenye msimu mwingine ambao (SEASON II) Utakaoanza Jumatatu ya SEPTEMBER 12.

SLOGAN YETU KWENYE SEASON 11 NI HII......."SIZ KITAA, HESHIMA YA KITAA KIROHO SAAAAAFIIII"...tukimaanisha kwamba ndio show pekee TANZANIA inayoipa HESHIMA mitaa yoooteeee kutokana na yale inayoyafanya kwa raia mitaani kwa roho saaafi japo kuna show zingine zinazo-deal na mitaa ila SIZ KITAA ndio itabaki kuwa HESHIMA YA KITAA.

Ili kuendelea kuleta HESHIMA KITAANI.......msimu mpya utawatazama zaidi vijana ambao wapo MITAANI kwenye CAMPS zao wakiwa na mishe mishe zao za kujitafutia mkate wa kila siku ili kutoa nafasi ya raia wa mitaani kuzielewa na kuzipa support ya kutosha ikiwa ni njia pekee pia ya kutoa nafasi kwa wadau mbalimbali kutoa michango yao kwa CAMPS HIZO badala ya wao kubweteka na kusubiri ajira ambazo Hawajui zitafika lini...


Wasanii wachanga, studioz za audio na video zote ambazo wanaonyesha wana uwezo ila wamekosa support watapata nafasi kila ijumaa kwenye segment ambayo inaitwa MWANANCHI KIJIWENI....tuone je! wanaweza kweliii au wanavyolalamika kuwa hawapati promo ni kweliiiii???? Bila kusahau MISELE YA MWANANCHI ambayo kutakuwa na interview na ARTIST WAKUBWA, STUDIOZ ZA AUDIO NA VIDEO..ambazo tayari VIDEOZ & AUDIO zao zinafanya vizuri kwenye MEDIA watakuwa na nafasi yao pamoja na the new segment ambayo inaitwa UKISIKIAAAA PAAAAAHH...je ina nini hiyoooo???? tukutane kwenye SEASON II pamoja na mengineyo mengi yatakayokuwa yanaendelea kitaani kwenye MAISHA YA KILA SIKU ambapo time yetu ni ile ile saa moja na robo mpaka saa moja na dakika arobaini na tano usiku JUMATATU - IJUMAA...pale pale CLOUDS TV huku tukiwasiliana kupitia ukurasa wetu wa kwenye FACEBOOK unaoitwa SIZ Kitaa AU E-mail: sizkitaa@cloudstv.co...

THANKS A LOT...
TS UR BOY CASTO DICKSON "MWANANCHI WA KAWAIDA"

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS