Thursday, September 29, 2011


Wednesday, September 14, 2011

Support Dar es Salaam music and listen!
Nas Tatu Feat. Abbas Kubaff & One Incredible - Nguzo 3
Sunday, September 11, 2011


















Thursday, September 8, 2011

Read more: OFFICIAL:MR & MRS BONIVENTURE KILOSA - BongoCelebrity
Tuesday, September 6, 2011

Niseme THANKS A LOT kwa support yako since show ya 20 ZA TOWN mpaka sasa kwenye SIZ KITAA show ambayo ni ya KITAA ZAIDI pamoja na MUSIC INDUSTRY kwa ujumla. Baada ya kumaliza msimu wa kwanza (SEASON I) YA SIZ KITAA sasa tunaingia kwenye msimu mwingine ambao (SEASON II) Utakaoanza Jumatatu ya SEPTEMBER 12.
SLOGAN YETU KWENYE SEASON 11 NI HII......."SIZ KITAA, HESHIMA YA KITAA KIROHO SAAAAAFIIII"...tukimaanisha kwamba ndio show pekee TANZANIA inayoipa HESHIMA mitaa yoooteeee kutokana na yale inayoyafanya kwa raia mitaani kwa roho saaafi japo kuna show zingine zinazo-deal na mitaa ila SIZ KITAA ndio itabaki kuwa HESHIMA YA KITAA.
Ili kuendelea kuleta HESHIMA KITAANI.......msimu mpya utawatazama zaidi vijana ambao wapo MITAANI kwenye CAMPS zao wakiwa na mishe mishe zao za kujitafutia mkate wa kila siku ili kutoa nafasi ya raia wa mitaani kuzielewa na kuzipa support ya kutosha ikiwa ni njia pekee pia ya kutoa nafasi kwa wadau mbalimbali kutoa michango yao kwa CAMPS HIZO badala ya wao kubweteka na kusubiri ajira ambazo Hawajui zitafika lini...

THANKS A LOT...
TS UR BOY CASTO DICKSON "MWANANCHI WA KAWAIDA"
Sunday, September 4, 2011


MAJINA YA WALIOSHIRIKI KWENYE NGOMA YA ONA
Baghdad ameanza, Fidodido amepiga Chourus, akafuata Kuch msichana pekeee ndani ya Mexicana, akaja Bibo, Chourus, okey Gerto Chirld, Scoda, Chibwa ngoma imeisha imefanyika katika studio za D Ftality chini ya Pro wetu Mensen Selector..
Mexicana LaCavela - Ona

KATIKA SIKU ZIJAZO ZA KARIBU TUTAFUNGUA TELEVISHENI. CHANELI YA MUZIKI WA
KITANZANIA, KWA JINA LA TANZANIA MUSIC TELEVISION {TMTV} (WWW.TMTV.CO.TZ) AMBAYO
ITAKUWA INAPATIKA KWENYE MTANDAO,SETILATI,SIMU ZA MKONONI NA
VING'AMUZI(DECODER)
CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI VIFUATAVYO:
1.BONGO BOX
2.SALAMU BOX
3.BENDI ZETU
4.TAARABU
5.ZILIPENDWA
6.NYIMBO ZA DINI
7.VIPAJI
8. HABARI ZA MUZIKI
9.SWAHILI HIP-POP
10.NYIMBO ZA UTAMADUNI
ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI TUNAOMBA MAPENDEKEZO YENU KUPITIA:
info@tmtv.co.tz
BONYEZA HAPA KWA KUANGALIA CHANELI
www.tmtv.co.tz
KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA KUDOWNLOD SOFTWARE YA MICROSOFT SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA AJILI YA KUDOWNLOD.
WENU
UTAWALA
TANZANIA MUSIC TELEVISION

Je, ni kweli kwamba kuna dawa ya mapenzi?Ni kweli kwamba “karumanzira” anaweza kusababisha mshawasha wa mahaba ndani ya nyumba ukazidi? Kuna ukweli wowote kwamba “mzee wa busara” anaweza kusababisha fulani atoke kwa yule wake na aje kwako?Sijui ila ninachokumbuka ni kwamba gwiji la muziki nchini Tanzania,Hayati Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba kwamba Mapenzi Hayana Dawa.Msikilize Sagna kisha useme yaliyoko moyoni mwako.
CREDITS:
Track Name: YAMENISHINDA
Artist : SAGNA
written by: SAGNA, JOSEFLY & KID BWOY
arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ SEPTEMBER 2011

Jiji la Dar-es-salaam ni maarufu kwa mambo mengi.Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na foleni au kamba kama wengine wanavyoita.Ni kero ambayo inaniudhi mimi binafsi kweli kweli.Mbaya zaidi ni kwamba hakuna kinachofanyika kwa uhakika kabisa ili kuondokana na tatizo hili ambalo ni kitu kibaya sana kwa maendeleo ya kiuchumi.Muda ni hela.Sisi tunaupoteza muda mwingi barabarani.Eti,kuna mtu kasema msongamano wa magari au foleni ni dalili kwamba uchumi umekua?Akili au matope?
Lakini at least kipo kitu ambacho kinaweza kukuwezesha kutoyahisi kwa undani maumivu ya foleni.Ni kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM kuanzia saa kumi jioni mpaka moja usiku.Pale utasikia mengi.Mengine yatakuudhi,kukuhuzunisha,kukufahamisha,kukuelimisha,kukukosoa nk Habari njema ni kwamba hata wewe unaweza kuwa sehemu ya Jahazi.Kivipi? Ni kwa njia ya kuwasilisha maoni yako.Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 na ili kushiriki,andika JAHAZI acha nafasi halafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774. Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu.
Pichani ni waendeshaji wakuu wa kipindi cha JAHAZI.Kutoka kulia ni Eprahim Kibonde,Wasiwasi Mwambulambo pamoja na Arnold Kayanda.
Share and Enjoy:
Read more: BongoCelebrity
Subscribe to:
Posts (Atom)
Blog Archive
- 2012 (19)
-
2011
(124)
- December(28)
- November(29)
- October(38)
-
September(26)
- Shetta ft, Dully Sykes Tunda Man - Mdananda [Offic...
- Lady Jay Dee ft Oliver "Tuku" Mtukudzi - Mimi ni Mimi
- CountryBOY ft, Linah - Mateso [Official Video]
- New Track: Nas Tatu ft, Abbas Kubaff & One Incredi...
- Jobfire "MAUMIVU"
- JANE BUSSMAN AND EVANCE BUKUKU COMEDY SHOW @ SOUTH...
- ALIKIBA LIVE @ CLUB BILICANAS – SUN 18TH SEPT…!!
- AUDIO: TUNDAMAN FT HUSSEIN MACHOZI & KEISHA – KIFO
- TEENSPOT MAGAZINE – ISSUE #1 – IN STORES SOON…!!
- NEW TRACK: DARASA, DIAMOND, R.O.M.A & YOUNG DEE – ...
- PHOTOS: SALHA ISRAEL NDIYE VODACOM MISS TANZANIA 2...
- BERRY BLACK Atoa pole kwa wote waliofiwa Zanzibar...
- HAPPY BIRTHDAY TO YOU BELLE 9
- OFFICIAL:MR & MRS BONIVENTURE KILOSA
- SIZ KITAA YA CLOUDS TV SEASON II NA MWANANCHI WA K...
- New Video: Suma Lee-Hakunaga (Official Video)
- BBM PARTY @ MBALAMWEZI BEACH CLUB – FRI 9TH SEPT…!!
- New Track: Ray Bee ft, The Captain "KILIO CHA MWANA"
- Dabo "GANJAMAN"
- NEW AUDIO: TID – MAHABA
- New Track: Mansu-Li "NDANI YA NYUMBA"
- MeXiCaNa LaCaVeLa - ONA
- TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION SOFT LOUNCHING
- “YAMENISHINDA”-SAGNA(NEW TRACK)
- VOTE FOR SHAA:CHANNEL O AWARDS
- UNATAKA KUWA SEHEMU YA “JAHAZI”?:FANYA HIVI…
- January(3)
- 2010 (13)
CONTACT US
Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A
Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
Total Pageviews
NEW EAST AFRICA SONG
Lukata Willy

ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS
BONGOFLAVA
Like Us on Facebook
COUNTRY VISIT MY WEB
Home
Create by Bongotrack. Powered by Blogger.