Tuesday, December 7, 2010
Jihadhari na promota feki tapeli kupita mwizi hutumia askari njaa kudhulumu wasanii imenitkea juzi tu wamenichkulia 550000, na iphone ya 1100000, anaitwa Eve Adhiambo toa taarifa kwa TMK umuonapo TZ kama ukisahau alama yake ana bonge la mwanya

Ni mkenya ndio anaishi mombasa ukiwa msanii wa kiume anakutaka kimapenz ukichomoa anakuletea askari wake mpk hotelini coz ugenini unakua una ujanja man nimuuaji kbs yule

amenifanya nipachukie mombasa kama ukoma,na sitaki kuskia wala sihta promota yoyote toka huko anipigie najua wote ni wezi tu,kwa kifupi sitopiga show tena mombasa mpaka nimtie mikononi eve

0 comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

CONTACT US

Lukata Willy,
BK,
Houston TX,
U.S.A

Tel:
832-859-6047
E-Mail:
lukatawilly@ymail.com
http://angrybirdsgamer.com

Total Pageviews

NEW EAST AFRICA SONG



Lukata Willy

Lukata Willy
ITS NOT WHAT YOU HAVE IN YOUR LIVE, BUT WHO YOU HAVE IN YOUR LIFE THAT COUNTS

FOLLOWER US ON

BONGOFLAVA

Like Us on Facebook

COUNTRY VISIT MY WEB

Home

Create by Bongotrack. Powered by Blogger.

BLOG FANS